#snashtz #technology #starlink
Ijue Vizuri STARLINK ya ELON MUSK / Inakuja TANZANIA
Share this:
21 Comments
Tuletee uliokuwa imekamilika hii fupi
Bora ajee
He is good
unaongea Sana, huweki point
Hatuoni file la Tesla now tunalipataje halionekani
Vice martial
Can anyone translate this? I am wondering if Starlink is available in Zanzibar already? Anyone knows this? THANKS <3
Hapa nimegundua kwann wanamchelewesha nahisi washapigwa kitu kidogo na makampuni ya simu maana hii ndo itakuja kupoteza hivi vinetwork vyao vinavyosumbua sumbua.
Mtajuta kwani Hawa wazungu hawana Nia njema hapa Africa
Kwahy wanataka kutuunguza kabisa… Hii tu internet ya kusua sua lakin wanatukomoa kwa bei
Kwani hizo akili hao Akina elon walizitoa wapi🤣
Hongera sn Kk Snash tz kwa Maelezo Mazuri sn hakika nimejifunza Mambo Mazuri sn kuhusu technolojia ya "Star link"….. endelea kutoa Maelezo Zaidi kuhusu Technolojia 👏👏👏👏🔥🔥🔥
Kaka fanya review ya garden of the galaxy vol 3
Naomba kuuliza Kwahiyo kutakuwa hamna haja sana ya minara ya simu kupata network na internet?
Ivi hizo satellite haziharibikagi
Tatizo uzalishaji wake mdogo sana vile vile sahivi kawekeza sana Ukraine ilioathiriwa na Mrusi ko kuingia bongo sahivi sidhan itachukua muda kidogo
Ataleta na vocha zake au utaratibu wakulipia utakuwaje?
Elon ni mwizi ,Data is a new currency 💴 😊
nafikili snash umetupa kidogo sana kuihusu starlink nataman kujua zaid namna inavyotumika maana c lazma uwe na receiver so unaconnet cable au inasafir katk frequency

#Techinswahili
Kaka snash please 🙏 naomba review ya samsung note 20 ultra 5g, utatisha kinoma